Wednesday, March 23, 2011

JAMANI ELIMU YA BONGO NDO HII

0






Mimi naona adhabu ya viboko irudi haraka sana…sababu naona watoto wanafeli sana darasani,mwaka huu tumeshuhudia watoto wakifeli wengi kuliko mwaka wowote ule tangu uhuru…sasa adhabu ya viboko irudi sio kwa watoto tena …bali ianzie kwa waziri wa elimu..
Stay Connected With Free Updates
Subscribe via Email
You Might Also Like
JOIN THE DISCUSSION