Monday, May 9, 2011
Friday, March 25, 2011
Wednesday, March 23, 2011
JAMANI ELIMU YA BONGO NDO HII
0
by:Prayag Verma
Mimi naona adhabu ya viboko irudi haraka sana …sababu naona watoto wanafeli sana darasani,mwaka huu tumeshuhudia watoto wakifeli wengi kuliko mwaka wowote ule tangu uhuru…sasa adhabu ya viboko irudi sio kwa watoto tena …bali ianzie kwa waziri wa elimu..